BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja, Mafuriko Kenya: Watalii wakwama katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara baada ya mvua kubwa kunyesha
Watalii wanahamishwa kutoka mbuga maarufu ya Maasai Mara nchini Kenya baada ya mafuriko kukumba sehemu kubwa ya mbuga hiyo.
Je, kuishi na watu usiowajua kunaweza kuleta furaha zaidi?
"Jambo bora zaidi juu ya kuishi na watu usiowajua, ni kwamba kila wakati kuna mtu karibu. Unahisi kama familia."
Kwa nini wanawake wa China hujiunga na vikundi vya ushirika kuokoa pesa?
Wakati uchumi wa China ukiyumba, wanawake wamevumbua njia za kuweka akiba kwa ajili ya familia zao
Togo: Miongo sita ya utawala wa familia moja ya Gnassingbé
Wakosoaji wanasema, mabadiliko ya hivi karibuni ya katiba ya Togo, yanaweza kumfanya Gnassingbé kubaki madarakani hadi mwisho wa muongo huu
Mafuriko Kenya: Serikali yawaamuru Wakenya kuyama maeneo hatari
Wananchi wote walioathiriwa na agizo hili wataarifiwa kufikia mwisho wa siku ya Jumatano, Mei 1, 2024.
Je, unapaswa kufanya nini ikiwa umekwama kwenye lifti iliyokatika umeme?
Kutokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini ajali za lifti zimejirudia mara kwa mara.
'Niliwekwa kimada nikiwa na miaka 12'
Elizabeth Paul Chitesya, mwenye umri wa miaka 29, anayeishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwa takribani miaka 10 sasa
Kwa nini Siku ya Wafanyakazi Duniani inaadhimishwa Mei 1?
Katika nchi nyingi, Mei 1 inajulikana kama likizo ya zamani ya msimu wa masika, lakini siku hizi inajulikana zaidi kama Siku ya Wafanyakazi (au Siku ya Wafanyakazi wa Kimataifa) kukumbuka mapambano ya kihistoria na maendeleo yaliyofanywa na wafanyakazi duniani kote.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 01.05.2024
Manchester United haitarajii klabu yoyote kufikia thamani ya £70m ya mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford, 26, msimu huu wa joto. (ESPN)
Je, mashambulizi ya makombora ya Iran na Israel yameibadilisha Mashariki ya Kati?
Habari za Mashariki ya Kati hubadilika haraka. Wakati mmoja ni kuhusu mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani kati ya Iran na Israel. Kichwa cha habari kinachofuata kinarejea kwenye mapigano na mateso huko Gaza.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Nyaraka za siri zabainisha vitendo vya vikosi vya usalama vya Iran kuwanyanyasa na kuwaua vijana waandamanaji
Nika alikuwa na umri wa miaka 16 tu alipotoweka wakati wa maandamano dhidi ya kanuni kali za uvaaji za wanawake za Iran.
Yakuza: Ni ipi asili ya genge la kimafia la Japani?
Yakuza, taasisi kongwe zaidi ya uhalifu duniani, hutumia kanuni za heshima, mila, tamaduni na alama zinazoifanya kuwa ya kipekee ikilinganishwa na mitandao mingine ya uhalifu kama vile makundi ya Amerika Kusini au mafia wa Italia na Urusi.
Mamilioni watumia WhatsApp kisiri licha ya kupigwa marufuku
Kama programu nyingi za Magharibi, WhatsApp imepigwa marufuku nchini Iran, Korea Kaskazini na Syria.
Mafuriko Kenya: Jinsi mafuriko yanavyofichua hali mbaya ya mazingira ya Nairobi
Kufikia sasa zaidi ya watu 120 wamepoteza maisha, wakiwemo takribani 50 katika vijiji karibu na mji wa Mai Mahiu siku ya Jumatatu umbali mfupi kutoka Nairobi.
Marekani inasema vitengo vya jeshi la Israel vilikiuka haki za binadamu
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imevitambua vitengo vitano vya jeshi la Israel vinavyohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika matukio ya mtu binafsi, lakini inasema vitaendelea kuungwa mkono na jeshi la Marekani.
‘Hatuonekani katika nchi yetu wenyewe': Kuwa Muislamu katika India ya Modi
Je, kuna chuki dhidi ya Waislamu nchini India?
Afya: Faida za muhogo kiafya
ules Kouassi, Daktari wa Afya ya Umma na mtaalamu wa lishe, kutoka Ivory Coast, anasema muhogo ni chakula muhimu, kwa sababu unaweza kuliwa na kila mtu na kuna njia tofauti za kutayarisha chakula hicho.
Daktari wa Marekani ambaye hawezi kusahau alichokiona Gaza
Wagonjwa walikuwa wamelala kwenye sakafu za hospitali wakiwa wamezingirwa na damu na bandeji, vilio vya uchungu na vya jamaa waliokuwa na huzuni.
Fahamu dalili za magonjwa manane ya figo
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la India la Nephrology, watu milioni 84 duniani kote wanaugua magonjwa mbalimbali ya figo.
Bahari mpya itakayoigawa Afrika itaibuka mapema zaidi ya ilivyofikiriwa – Utafiti mpya
Mwaka 2023, makala 17 zilichapishwa, zikieleza juu ya mkondo mpya wa bahari utakaoibuka katika eneo la Afar, Ethiopia ambalo liko kwenye mipaka ya nchi hiyo pamoja Eritrea na Djibouti.
Hakuna haja ya kuoga kila siku - hii ndiyo sababu
Je, ni lazima kuoga mara kwa mara? Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba kuoga kila siku kunategemea zaidi 'mkataba wa kijamii' kuliko mahitaji halisi.
Waridi wa BBC : Nilikimbia ‘dogoli na okuleya’ kutimiza ndoto yangu ya kuwa sauti ya jamii
Kipande cha gazeti kilichofungia sabuni kilivyonipa taarifa ya thamani
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 2 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 1 Mei 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 1 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 1 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki